Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kwaiyo milija ya uzaz ukiwa umeziba unatibiwa vip unapatiwa daw amaa
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1006
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hi Nauliza mke wangu alitokwa na ujauzito mwezi was kumi mwaka Jana mpaka sai haja shika ingine shida inaweza kua nini
Kinywa changu kina Matatizo mdomo kutoka alufu Na ukipiga mshwaki alafu inahamia puani sijuwiiii chanzo. Ni nini?
fangasi inayoweza kutibika iwe imedumu kwa muda gani ?
Wakati wa kukojoa huwa na pata maumivu makari Sana pale ninapomaliza kukojoa na maumivu chini ya kitovu je ni ugonjwa?
Nahisi kichefchef na period sijaingia miez3 mpk sass nachoka San tatiz nin
Dkta habari mimi nasumbuliwa natumbo kulia na kushoto nauwo upande wakulia ndo umezidi mana unachoma mpk nyuma ya mgongo hasa uck nikilala shida nn