Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nilikua naomba unisaidie jinsi ya kunuia swala ya usiku ile ya haja
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 621
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je nikitaka kutia mwili wangu udhu wa nifasi je naanzia wapi nafanyaje
Nashukuru Swali langu ni kuhusu maana. Ya kijakazi atamzaa bibi yake Katika hadithi ya pili kati ya hadithi arobaini zak imamu annawawiy
Naomb kuuliza ukiswali witri katika baada ya ishaa vipi unaruhusiwa kuamka usik kwa ajili ya sunna nyingne
Nataka kujua nini mtazamo wa kikafiri juu ya dini
Nko na swali wakat unaanza kula unatamka vip. Bismillah Rahman Rahim ama watamka Bismillah pekeake.
Asalam alaikum naomba darasa fupi aina za najisi,makundi yake pamoja na tohara zake