Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naweza kupata kama vitabu vingine vya dini ya kiislamu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 379
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Unawezaje kufunga swaumu na hali yakua una mke hujafunganae ndoa
Je? Unaswaumu halafu umezaa nje mtoto mama kaomba hela unaruhusiwa kuto?
Ni ipi Tofuti kati ya kusimamisha swala na kuswali
Mimi ni Binti wa miaka 24 ,Niko na mchumba ila ni Wa dini nyingine yaan christian nimejaribu kumshawishi na Kwa kiasi Fulani anakaribia kuelewa juu ya uislam , swali langu ni kwamba ni Kwa namna gani naweza mshawishi zaidi na vitu gani nifanye baada ya yeye kukubali kuwa Muslim? Assalam aleykhum!
Mimi nikitaka kuoa mke wa pili kunahaja ya kumtaarifu bimkubwa na kama nikimtaalifu akakataa je nifanyeje?
Mimi nina mtoto wangu wa kiislam, lakini kapata mchumba wa ki kirsto, je naruhusiwa kula Mahari yake? Naomba msaada huo