Swali #1267
21-05-2023 14:04:52
<p>Niliharibikiwa na ujauzito wa week 7 kutokana na kuumwa ambapo nikatumia dawa ambazo sikujua kama Zina effects za kuharibu mimba so nikasafishwa kizazi nikapewa na dawa nikarudi KATIKA Hali yangu kawaida Lakini Leo ni kama siku ya tatu ninahisi maumivu Kwa mbali hasa chini ya kitovu upande wa kushoto au hta nikibinyabinya hiyo sehemu na mkono JE MAUMIVU HAYO YANASABABISHWA NA NINI ?</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1267