Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nataka kujua ipo tiba ya uvimbe kwenye. Kibofu?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 499
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
nmeingia cku zangu trh 28 mwezi wa 3 na nkashiriki tendo la ndoa kwanzia cku ya 11 mpaka cku ya 18 lakn nmeona cku zangu tena trh 24 mwezi huu je sina ujauzito
Nilikuwa nataka kuuliza kwamba iv ukimwi unaonekana baada ya mda gani ukitaka kupima
Nina shida naumwa tumbo upande wa kushoto
samahani dokta nimeenda hospitali nikapewa dawa za UTI zinaitwa CIPROFLOXACI arafu ninaujauzito kama wamwezi je haziwezi kunizuru
Kuharisha ni njia moja ya kutaka kujifungua ni dalili yani
Nina umri wa miaka 19 jinsia wa kiume ninatatizo la kuwashwa kwenye korodani na ninatokwa na vipele baada ya kujikuna mbaka leo hii ninasiku ya 6 na tatzo hili n mala ya kwanza kunitokea naomba msaada