SWALI:

Je unawesa kujuwa Mimba ya wiki Moja

Swali No. 438




JIBU

Mabadiliko yanayotokea mwilini ndio yanayotujulisha kuwa huwenda kuna mimba. Hata hivyo vipimo ndio vitakavyothibitisha uwepo wa mimba. 

 

Mabadiliko haya huwezi kuyaona siku ya kwanza baada ya tendo la ndoa. Kwa hivyo huwezi kuona dalili za mimba ya siku moja. 



Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 21-02-2023-13:36:05 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp






MASWALI YANAYOFANANA