Swali #462
23-02-2023 10:53:37
<p>habar nilikua naulize mm mzunguuko wangu mfupi je 25 nilipata pld tareh 27 nika maliza tareh30 nikashiliki tendo tareh 6 ss sijielew mpaka ssiv na mda wakuona pld umepita ila leo nimeona pld ila nyepes alafu ndogo je nnaweza kua namimba mana naskia kizunguzungu kichwa kinauma mwili wangu umechoka</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 462