Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nataka kuyua njinzi ya kulinda afya yangu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 495
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je inawezena kuwa mtoto amekufia Dani ya tumbo au nikuchoka tu amelala Kwa sababu Niko hospital na wemetafuta heart 💖 beat lakini hawasikii akipumua au kucheza
nasumbuliw na muwasho sehem za siri
Habari samahani mm mjamzito wa wiki 36 ila sasa nmeanza kuona uke wangu umekuwa wa maji maji na kiuno kinauma sn je ni moja wap ya dalili za uchungu?
Swali langu nahitaji kujua nini shida kutoka majimaji uken na yanayo Nuka sana na si mjamzito
habari ninatatizo la fangas kwenye pachu za mapaja nahitaji matibabu kwenu napataje huduma?
Kwanini mjam mzito wamwezi mmoja mbavu zina mbana namaziwa yamejaha yote n a chuchu zina Uma naku washa