Pata jibu kamili kuhusu swali lako
mafua huchukua mda gani kupona
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 72
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari doctor nilikua nataka nifahamu juu ya tatizo nililo nalo
Tatizo lenyew ni katika pembezoni mwa uume Wang kumepauka , pia kunatok vipere pia huwa kunawasha
Habari nina tatizo la kiungulia
Je mimba ya siku nane iaweza kuonekana kwenye kipimo cha mkojo?
Asante. Mm naomba niulize swali sijapitiliza hezi lkn mwili wangu nauona upo tofauti sana nipo very hot haswa nyakati za usi na mchana nikiwa kwenye shuri zangu huwa naishiwa nguvu nakuwa kama mtu nile lala njaa pia napata mate km ya Mt mwenye homa mepesi na maziwa yanauma pia lkn nilipima na utp majibu sina mimba na siku nilizo bakiza ni siku 6 tu niingie hezi.
Swali langu kwako jee? Inwezekana kuwa nina mimba nimewahi kupima au
Nilikuwa nauliza natokwa na uchafu warangi ya njano arafu mzito hili litakuwa nitatizogani
habari mimi apa nahisi na ujauzito lakin sina uhakika naomba ushauli wenu