Pata jibu kamili kuhusu swali lako
utajuaje kama ni mimba mtoto wa kiume
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 699
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nauliza Mimi nipo Zambia Kwa jina naitwa Kennedy kama umeathilika vipimo vinauwezo wa kusoma negative miezi sita
Habari doctor nilikua nataka nifahamu juu ya tatizo nililo nalo
Tatizo lenyew ni katika pembezoni mwa uume Wang kumepauka , pia kunatok vipere pia huwa kunawasha
Samahani mimi nasumbuliwa na kichwa hasa Nikiwa na mawazo, nakosa hamu ya kula , nahisi baridi samahani zinaweza kuwa dalili za nini
Namaswali machache Kuhusiana kushik mimba. Mimi niliingia period tarehe 4 mwez uliopita yaan December, n mwez wa11 pia niliingia hedhi tarehe 4. So maximum kua siku ya hatr n siku ya10 c ndio ambay n tareh13 na nimekutan n mmewangu siku za hatr kimwili, leo nimepima mimba Ila kimekuj kimstari kimoja, inamaanisha sina mimba au nimewahi kupima ujauzito?
Mm nilienda nilifanya ngono siku ya Saba je nimjamzito
Nimeishuku Sana yani nahisi km mimba ju Ni kitu inanigonga gonga na nikienda kuitoa kesho ntachukua mda gani kupona