Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba unifundishe namna ya kusimamisha sala ya tarawehe na witir
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 846
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mm naomba kuuliza,. Ni kijana gani alieaminiwa na bwana Abu Talib ambae aliemkabidhi mtume s.w.a amrudishe Makka?
Kuna baadhi ya watu wanasema qur-an ni kiumbee na wengine wanasema cyo kiumbee ni upii usahihi
Swala tu tahjjud ktk izi swala naweza soma sura yyote au
Naomba kuuliza taratibu za kupata cheti cha ndoa. Ndoa ya kiislam imefungwa na shekhe, kwa kawaida taratibu za kupata cheti cha ndoa baada ya ndoa kufungwa zikoje / kinapatikanaje? Na ni Baada ya muda gani?
Asalam alykum nikuwa nauliza ety vifungu vya faradhi ni vingapi?
Niipi hukmu yamtu mwenye kuacha swala pasi na udhuru wowote?