Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba nielekezwe ikhfau Shafawiya katka hukumu za kusoma Quran
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 607
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je nihadithi zipi zilizo onesha kuwa mtume ame swali tarawehe kwa rakaa 11
Asalam ALEYKUM,,,Ninahoji kitu ki1" " ktk mawaidha flani ,shekh alitoa namna ya kuoga,(Janabah) shekh asema nivizuri ukaanza na kutawadha kwanza ndipo uonge,,Sasa iweje nianze na kutawadha Ndipo nioge,AMA kuna namna sijamwelewa,kwasbb sasa kila 1 awa Mtoa mawaidha kadri anavyojua yeye, asante,,Asalam
Je inafaa kuchoma sindano wakati umo kwenye funga?
Asalamu Alaykum warahma tullah wa barakatuu naomba mwalimu wakunifundisha quran online
Samahan mi naomba unifundishe ukisha jifungua unaoga je?
Historia ya dini ya kislamu inamfunza nini mwanadamu