Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba kujifuza jinsi ya kuoga janaba
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1272
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari Mimi tumbo linauma upande wa kulia ila tumbo linajaaa gesa na kukojoa kila saaa Kuna mda linau ila nikitoa hewa tuu linaachia na maumivu yanapungua sijui shida itakua ni nini
Ninatokewa na vijiupele kwenye kichwa cha mboo Kuna dawa nilipewa ya kupaka ila vinapotea na kurudi
nina kizunguzungu nini tatizo maana siumwi kitu
Samahani naomba kuuliza je kama mwanamke huendi mwenzini ila uteute wa damu ukiwa unana unatoka uwezekano wa kupata mimba upo
Je ukosefu wa vitamin E unaweza kusababisha nywele kunyofoka,kizungu zungu,pamoja na kuzubaa yaani kutokua mchangamfu
Je? Ikiwa n ujauzito matone ya dam hutoka kwa siku ngap?