Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Tatizo langu ni kuchubuka kene kichwa cha uume wangu pindi nmalizapo tendo
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 785
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je kuwashwa kwa muda ukeni kunaweza mfanya mwanamke kuchelewa kupata hedhi
kuna muda uume unalegea kwenye tendo.. na sanyingine inanitokea tuu unalegea kabla hata sijaanza
Hello Natatizo la fangasi kwenye mdomo ila sipati maumivu yeyote huwa npo kawaida tu. Na chakula nakula vzr, nimetumia dawa ili kutibu uu muonekano wa ulimi uwe vzr lakn Bado cjapata dawa sahihi
Tatizo langu, ni ku kuwa na mawazo sana,kukosa furaha na kukosa umakini hata ninaooelekezwa jambo. Nifanye nni kuepuka haya?
Nina mkewangu hapa anasumbuliwa na mapigo ya moyo kwenda mbio pia mwili kuishiwa nguvu
Nauliza vidonda vya tumbo vinatibika?