Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nabii adam ameumbwa kutokana na nini
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 701
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
swali mim nahitaji kujua herf zakuruani
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Mimi nna suali kuna mtu kafa alizaa mtoto mmoja mtoto wa kiume kafa kabla ya mama . Baadae mama kafa hana mtoto mwengine ila kuna wajukuu wa mtoto wake huyo mmoja wa kiume aliyekufa na pia kuna dada yake baba mmoja hao tuu ndio waliomzunguka wakaribu wengine ni watoto wa dada zake jee mirathi hapo inakuaje?
Asalam alykum warahmatullah ,Je zakat al fitr yafaa kuwatolea wote unaoishi nao ama waliofunga pekee?
Nina swali sheikh nahitaji msaada wa Elimu.
Nimeingia kwenye mgogoro na Mke wangu asubuhi hii kwa kuwa alikuwa akitamka maneno ambayo mimi sitaki kuyasikia kutoka kwake. Nimemuonya mara ya kwanza hakusikia, nikamuonya tena hakusikia, nikamuonya mara ya tatu kwa kumuambia kwamba *"Ukiniandikia tena Maneno haya basi nitakuwa nimekuacha"*. Naye akayaandika tena? Je, hapa talaka imetoka? Na hukmu yake ni ipi?
Je ni Sahihi kufunga mwezi wa shaaban katika siku 15 za mwisho
Je itaondokaje hadathi kubwa kama pakikosekana maji