Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kwema, je hii swala ya dhuha nitaiswalije au hatua zake zikoje kipindi cha kuswali hii swala
utaiswali kama unavyoswali swala nyingune ama sunnahnyingine. Kitu kilichibadilika hapo ni muda wa kuswali.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Naomba unifundishe namna ya kusimamisha sala ya tarawehe na witir
Nina janaba nifanye nini
Nini kilicho mfanya bukhadija afariki alikuw anaumwa au?
Asalaaam aleykum ndugu naweza kupata. Maana ya jina la Ulya ndani ya quran tukufu. Sura na ayat
Je km mtu aliishi miaka mingi bila kufunga na anamke wake halali wakati wakiishi walikuwa wanafanya matendo yote ikiwemo kujamiiana kipindi chote cha ramadhan kwa mda wowote iwe Asubuhi au mchana Sasa wameamua waanze kufunga swaum je Hawa watu watahusika na ile hukumu ya kufunga siku 60 mfurulizo? Au kuzilipa zile ramadhan walizo ziacha huko nyuma?
Naomba nifundishwe jinsi yakunuwia swala ya ijumaa