Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mwanamke anapotalikiwa yapaswa kwake kufanya nini na kutofanya nini
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 51
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nauliza hv unaposwali swala yeyoe kuna dua yake au unaweza soma sura yoyote unayoijua
Katika mitume 25 walopewa ilmu na hikma ni wangapi na ni akina nani? Wabillahi taufiq
Assalamualaikum naomba kujua maan ya bidaa
Samahn,,ati ni mwaka wa ngapi ilifaradishwa funga?
Aww ninaweza kupata clips za namna ya kuswali swala vita, namna ya kuosha maiti
Naam shukran na je!alhabib swali langu ni kama ifuatavyo:mke wangu ni mjamzito nyakati ya kujifungua wadaktari wakanambia nitie saini ima nimpate mke wangu akiwa hai au nimpate mwanangu sheria yanihitajia kufanyaje?