Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mimi ni mwanaume na ninamiaka 32 naomba kujua maneno ya kikao cha tahyatu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 624
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nataka kuuliza historia ya uislamu baada ya kutawafu mtume ni mada ya form ngapi
Às/alaikum.naomba kuuliza kupagiwa formula ya mgao wa mirathi..marehem kaacha mil 18 kaacha watoto wa kiume 5 na wa kike 6
Shaikh samahan nauliza nini hukumu ya mwanamke asiyemtii mumewe katika mambo ya kheri?
Assalaam aleykum warahmatullah wabarakat..nilikua naulizia hivi zakatul fitr inafaa kutolewa kwa wakristo??
Je n mke gani alikufa shaidi enzi za mitume
Asalam alaykm naomba unipatie ushahid kuunganisha ya magharb na Ishaa kwa sababu ya mawingu