Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mtu mwenye vido ndavya tumbo vyakula gani apaswi kula
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 943
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hello nina swali? Na kwa mwanaume kuumwa na tumbo na kukosa hamu ya kula chakula baada ya tendo nini tatizo? Vyakula vya mafuta harufu yake inakufanya unatapika.
Nina Miaka 25 ni mwanaume. Tatizo langu ni kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa Hadi kupelekea kushindwa kufanya tendo lenyew hii hutokana na sehemu za Siri (korodani kuuma au kukaza) na kupelekea pia sehemu ya juu ya kupata maumivu pia na tatizo hili limenianza mwaka huu
ona Dokta tumbo linajaa halafu naona kizungu zungu halafu nahisi kama kunakitu kinatembea tumboni lakini nimezuia kublid. kama mwezi mmoja t je nikitu gani
Ok shida yangu nikwamba nasikia maumivu makali tumbo la chini na mpaka kwenye mishipa ya korodani na kwenye nyonga pia kichwa kinauma
Hi Presha huwa inanisumbua nitumie nini ili ishuke?
Je kama unahisi una mimba ya wiki moja alafu tumbo linakuwa linaunguruma mara kwa mara je ni dalili za mimba na kukosa aman ya moyo