SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #196 06-02-2023 05:10:17
Question Icon

Habar ya ww mtaalamu ,sasa nilitaka kufahamu kama shilingi inaweza sababishwa na minyoo maana hapa nilipo ninashilingi kifuani nimetumia dawa za kupaka inasaidia ninapoendelea kutumia dawa ,dawa inapokuwa imeisha yenyew inaanza upya na shilingi hii inawasha na ina uweupe Fulani ina mda kama miaka 6 saiv haitaki kuisha,vilevile saivi imeongezeka kichwani na hata usoni ,nilishauriwa pharmacy kwa nitumie dawaa ya minyoo itasaidia

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 196

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi