Swali #334
15-02-2023 17:04:47
<p>Mtoto wangu nilimzaa akiwa na low birth weight na huku akawa na tundu kwenye moyo na mshipa unaosambaza damu safi uko intact sasa nimekua na hofu kidogo sababu kaumbo Jake ni kadogo viguu vyembamba na vimikono nikawa na wasiwasi</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 334