Swali #758
16-03-2023 07:25:13
<p>Doctor naomba nijue doctor hii ni mala 3 natumia pepu nimekuwa Kama Nina mikosi jee haiwezi pelekea dawa kutofanya kazi na wanasema pepu Ina asilimi 65 ya kuzuia ugonjwa na sio asilimia100 doctor naomba niambie hii iko vp </p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 758