Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mtoto wa miaka 2 akinyonya hutapika
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 112
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari za kazi Mimi ninamtoto mchanga wa miezi miwili anasumbuliwa na maumivu ya tumbo na anagoma kunyonya ziwa la mama, je nifanyaje
Kichefchef tumbo kujaa viungo vya mwili kuchoka kichwakuuma. Nidalili za minyoo nnazo but najua n mimba kumbe hapana
Nina weza nikaingia tarehe 7 au 8 au 6 sasa hpo bdo sjajua shda nn mwka jana nilipma kpmo cha mimba nikagundulika sina ila ilpofk mwenz 10 nlfny tnd la ndoa na mume wangu sasa hv naona dalili zote za mimba sasa sina uhakika na hilo naomba unisaidie kunipa majibu ya maswali yangu.
Assalam aleykum samahani shekh ikiwa muislam ambae alieteleza akajitoa manii makusudi yaaan (masturbation) usiku WA Ramadhan hukumu yake ikoje?
Hivi mwanaume akifariki na mkewe akakaa eda na ikaisha je mdogo wake au kaka yake huyu mwanaume anaweza kumuoa huyu mwanaume?
Je kama huyu mdogo wake huyu mwanaume aliyefariki aliwahi kunyonya Kwa huyu mwanamke kipindi akiwa mdogo je itajuzu kumuoa?
Hello Nimesoma makala ya faida za njegere mwilini ila ninaswali Ili kufaidi virutubisho na madini yanayopatikana kwenye njegere inapaswa kuandaliwaje