Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Unajuwa dalili zinazotokea tumboni zinahusiana na mambo mengi hasa kwa wanawake.
Pia mimba na minyoo hushirikiana kuwa na dalili za kufanana.
Kama unakosa hamu ya kula pia huenda ikawa ni minyoo vinginevyo hatuwezi kuwa na uhakika mpaka upate vipimo.
Yapo maradhi mengine ambayo dalili zao hushiriana na mimba na minyoo mfano wa maradhi hayo ni Typhod.
Fika kituo cha afya upate vipimo