SWALI:

Mm tumbo linaniuma alafu hedhi inatoka lakini so nyingi lakini pia nkiponyeza matti yangu yanatoa maziwa je itakuwa ni nn?

Swali No. 344




JIBU

Mabadiliko ya homoni huchangia kwa kiasi kikubwa wingi wa damu ya hedhi. 

Hata hivyo kama imetoka tone chache tu na kukata inaweza kuashiria ujauzito.



Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 16-02-2023-11:42:41 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp






MASWALI YANAYOFANANA