SWALI

Mke wa mtu Ana weeza kutenguwa mumewe? N'a nguo yakuazima ina twahara?

Swali No. 592
JIBU

Imamu shafii amesemankuwa jambo hilo linatenguwa udhu. Amesema haya kwa kuangalia aya inayilazimisha watu kutawasha baada ya kugusa mwanamke. 

Hata hivyo maulamaa wengi wamesema kuwa jambo hilo halitengui udhu. Ibn abbas na Masahaba wengine kama Ally bin Abi Talib pia wapo kwenye msimamo huu wa kuwa hakutengui udhu. 


Katika kuzungumzia aya unavyotaka watu kutawadha baada ya kugusa mwanamke wamesema makusudio ya aya bi kufanya jimai.Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 03-03-2023-05:04:53 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA