SWALI:
Nina swali sheikh nahitaji msaada wa Elimu.
Nimeingia kwenye mgogoro na Mke wangu asubuhi hii kwa kuwa alikuwa akitamka maneno ambayo mimi sitaki kuyasikia kutoka kwake. Nimemuonya mara ya kwanza hakusikia, nikamuonya tena hakusikia, nikamuonya mara ya tatu kwa kumuambia kwamba *"Ukiniandikia tena Maneno haya basi nitakuwa nimekuacha"*. Naye akayaandika tena? Je, hapa talaka imetoka? Na hukmu yake ni ipi?
Swali No. 774
JIBU:
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 774 )
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 17-03-2023-05:54:15 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp