Swali #1115
24-04-2023 13:01:04
<p>Mimi ni mwanamke wa miaka 25..Nilikuwa nina kipindi kirefu kama miaka 3..Sijafanya mapenzi..Sasa baada ya kufanya wakati siku naingia Kwenye siku zangu nilipata maumivu makali sana ambayo kabla sikuwa nayo..Lakini pia nimeanza kupata maumivu ya chini ya kitovu na kiuno ambapo inaambatana na gesi wakat mwingine hadi kichwa kinauma na misuli ya miguuni..Naomba unisaidie shida ni nini?</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1115