Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Asante kwa elimu je maandazi ni chanzo cha maji
Hapana maandazi sio chanzo cha maji. Maandazi na vyakula vingine mfano wake sio chanzo cha maji.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Asante sana Mimi nimesoma kuhusu ukimwi na dadilili zake nimeziona lakini mwezi kuisha nilienda kupima nikaambiwa Sina na wakati nimepungua gafla tu
Niliona vitezi vya kwapa zote mbili na kichwa kuuma Sana na vipele sehemu za Siri
Chanjo ya HPV inalinda dhidi ya nini?
Mimi nilibeba mimbA mwez wa tisa ila mda huu naona majimaji na mtoto kachuka je nidariri za kujifungua au lha
Mtoto anaweza kuzaliwa miezi nane na akaishi?
Mm nimedunga sindano tarehe tano za mwezi wa kwanza n'a mpaka sasa sijaona siku zangu ila nabaki nasikia maumivu chini ya kitovu kwa mbali n'a nimefanya tendo la ndowa siku iliofuata tarehe 6 je naweza kupata mimba?
Swali langu ni je chuchu kuuma inaweza kua ni dalili ya hedhi? Na je uwepo wa chunusi ni dalili ya mimba au hedhi?