Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mama mjamzito akishajifungua hurudi katika hali ya kawaida
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 738
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahani naomb kuuliza mapigo yamoyo hua yanaenda mbio sana lakini kwa mda mfupi mpaka naishiwa nguvu nahisi kuchoka,ila nlishawahi kushikwa napresha nkiwa mjamzitoe je nifanyaje hiyo hali ipotee
Swali langu ni je chuchu kuuma inaweza kua ni dalili ya hedhi? Na je uwepo wa chunusi ni dalili ya mimba au hedhi?
Mimi ni bety kutoka Arusha, nauliza je bamia unaweza kusaidia kutibuvidonda vya tumbo??
Mwenye hupungufu wa. Vitamin e. Hujiskiaje
Habari nimehifrahia makala Yako hila naomba kujua itachukua kipindi Gani kuzitambua hizi dalili za ukimwi endapo atakuwa amepata maambukizi kwa mara ya kwanza??
Mimi ni mjazito siku zangu zimekaribia za kujifungua na Niko na shida za saa nyengine ya pumzi shida ni nini