SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #206 06-02-2023 14:36:06

<p>Mpenzi wanguu alimeza dawa ya kuzuia mimba mara mbili na akatokwa na damu kidogo ikawacha na kwa sasa amepima mimba mara mbili na inaonyesha kuwa hana ujauzito ila leo kaniambia anaskia kuchefukwa na roho je inaweza kuwa ni tatizo gani ama ana ujauzitoo???</p>

JIBU

Inaweza kuwa ni athari za hiyo dawa ndio zinapelekea kichefuchefu. Na hii hutokea kwa sababu kuna mabadiliko ya homoni yametokea. 

MASWALI YANAYOFANANA