Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Majimaji yanayoambatana na maumivu ya tumbo la chini
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 101
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nimetumia dawa mefloquine Leo siku ya 5 naona mwili unapata joto nakichwa kuuma.nn sababu
Nifanyeje ili mimba ikue haraka
Habari mi nilikuwa na mimba ya miezi miwili ikawa imeharibiki nikaenda kusafishwa ,baada ya siku tano nikaaanza kushiriki tendo la ndoa hadi leo je sijawahi kushrki tendo hilo na halina madhara
Hiv uume kuwasha kwenye kichwa na kutoa majimaji nchia ya mkojo nidalili xaugonjwa gani
Je mtu anaweza kutumia dawa akiwa kwenye siku za hedhi?
Sjawahi kuumwa fangasi but ndo Mara yangu yakwanza naona Hali hii yakutokwa uchafu ukeni na nia yangu nitiba Mana nimetumia dawa za farmasi lakini wapi uchafu unatoka