Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Baada ya kumwaga sperms ndani ya uke MTU afaa kusimamisha kwa dakika ngapi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 800
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Niko na ujauzito miez 3 ,nasumbuliwa na fungus sijui italeta madhara Kwa mtoto ,pia nimetumia dawa Sion mabadiliko
Kama mtu mzunguko wako wa kawaida .naukafanya tendo la ndoa ukiwa kwenye hedhi utapata mimba?
mimi nikiwa nimelala usiku napata ganzi ya mkono wangu wa kushoto kuja kifuani yani had inanikera jee shida ni nini?
Hivi vidonda vya tumbo vinasababishs kupumua haraka haraka
Je huu ugonjwa hutibiwa kwa mda gani Wa kuvimba mapumbu na maumivu makali
Shida yangu je matiti yangu yananinyima Raha kabisa yaani sipendi kuvaa brazia kwa mda mrefu Ila kutokana na ukubwa wake inanilazimu nivae tu pindi navyoamka naomba Kama Kuna dawa ambayo inaweza kunisaidia bila madhara ,,sijaolewa bado Wala sijazaa