Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Madhara ya kufanya mapenzi na mama mjamzito
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 385
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Taja watu watano ambao uislamu umewakataza kuwapa maji. Pindi ambapo maji hayo yamewekwa kutiliwa udhu
Bilali alikkuwa swahaba wa kipind Cha Nabii Gani?
Nina swali sheikh nahitaji msaada wa Elimu.
Nimeingia kwenye mgogoro na Mke wangu asubuhi hii kwa kuwa alikuwa akitamka maneno ambayo mimi sitaki kuyasikia kutoka kwake. Nimemuonya mara ya kwanza hakusikia, nikamuonya tena hakusikia, nikamuonya mara ya tatu kwa kumuambia kwamba *"Ukiniandikia tena Maneno haya basi nitakuwa nimekuacha"*. Naye akayaandika tena? Je, hapa talaka imetoka? Na hukmu yake ni ipi?
Asalsm
Alayku.nilikuwa nauliza yafaa kumpa mamamdogo zakatil fitri
Je Kama mtu hajawa na uwezo wakulipa hiyo zakatuli fitri swaumu yake haitopokelewa?
Assalamualaikum naomab kujua kivaaa suali ukavuka kufundo ch a mguuni ni sawa