Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Sababu za mwanaume kupata maumivu baada ya tendo la ndoa
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 634
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nataka kujua kuhusu historia za masheikh wa afrika mashariki na Elimu zao
je utakapokula daku ukisikia adhana ya kwanza unatakiwa uwache Kula au umalizie kula mpaka adhana ya pili
Ass alaykum?naomba kuuliza?jee ibada ya hijjah ilikuwepo kabla ya mtume Muhammad (s,a,w)?
Swali langu Ni hili,,,
"Thibitisha kuwa khalifa Othman alimrejesha mjomba wake kutoka uhamishoni kwa lengo gani?
Asalam aleykhum , swala za sunnah huswaliwa baada ya swala za faradh au kabla ?
Swali langu Mimi Nipo kwenye ofisi za mikopo nafanya kazi na izo ofisi zina liba ndani yake je mimi nae ni miongoni mwa Wala liba
Ni mwajililiwa katika ofisi za mikopo na ofisi izo zina liba ndani yake je mimi nae ni miongoni mwa Wala liba