Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Asalam alaykum nataman kujua zaidi kuhusu kisimamo Cha usiku
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 646
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatu.
Samahani naomba kufahamu kwa mwanamume alie muacha mkewe kwa talaka tatu nikipi kifannyike ama taratibu gani zinapashwa zichukuliwe ili mwanamume huyo aweze kuishi tena kihalali na alie kua mkewe.
Asalam aleykhum ,he mtu huweza kudumu na udhu kwa swala zote tano kama hatopatwa na moja ya yayotengua udhu ?
Swali lang naomba kujuwa kufanya biashara ya play station au Games je naingia kwny haramu.
Swali juu ya swala ya tarawh unaweza kuswal baada tu ya insha
Ni zipi ishara zilizomo katika nafsi ya mwanadam
Yale manii yanaotoka mwishoni mwa haja ndogo yanabatilisha funga?