Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kwa mwenye ukimwi vipele ni lazima kutokea kwenye ulimi na mdomon kwa pamoja
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1285
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mimi mke wangu anapata maumivu ya kichwa tuu na uke ni mkavu sana ninapo mwingia hata ni mwandae vipi
Samahani Mimi namahusiano na mtu anaetumia dawa za vviu mimi cina je nisipotumia kiga na pakawepo na msunguano nawezakupata maambukizi
Namaswali machache Kuhusiana kushik mimba. Mimi niliingia period tarehe 4 mwez uliopita yaan December, n mwez wa11 pia niliingia hedhi tarehe 4. So maximum kua siku ya hatr n siku ya10 c ndio ambay n tareh13 na nimekutan n mmewangu siku za hatr kimwili, leo nimepima mimba Ila kimekuj kimstari kimoja, inamaanisha sina mimba au nimewahi kupima ujauzito?
samahan naitaj kujua majib sahii juu ya kipimo Abbott make kimetoa misital miwil
Jamani mimi Nina wiki Sasa na tumbo linaniuma sana tena nahalisha,vip inaweza kuwa mimba
Nilifanya tendon siku ya danger kabsa ila nilimeza p2 je kunauwezekano Wa kupata mimba