Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kuonyesha kwamba mwanamke ana mimba matone ya damu hutoka sku ngapi?
Hakuna muda maalumu yanaweza toka mara moja tu ama zaidi ama yasitokee kabisa.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari samahani mm mjamzito wa wiki 36 ila sasa nmeanza kuona uke wangu umekuwa wa maji maji na kiuno kinauma sn je ni moja wap ya dalili za uchungu?
Swali langu ni kwamba kiungulia linaweza sababisha Kansas ya Koo?
Habar katika dalili zote nilizosoma ninazokumbana nazo mm ni kujisaidia kinyesi laini ,kujamba mara kwa mara ,kuhisi kwenda haja kubwa ukienda unajamba tu, kichwa kuuma ,na paja kuuma mm nitakuwa na shida Gani maana napata maumivu tumboni upande wa kulia
Mimi Nina umri wa miaka 33 ninatatizo la kutoshika ujauzito
Moyo kuuma na kutoka jasho jingi nn shida
Kwanini huruhusiwi kutumia mafuta Kwenye kidonda ulichoungua na maji ya moto