Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naam inawezekan Mtu kupungua uzito kwa sababu ya msongo wa mawazoo??
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 940
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ninatokewa na vijiupele kwenye kichwa cha mboo Kuna dawa nilipewa ya kupaka ila vinapotea na kurudi
ivii kika waida mwanamke ndani ya siku tatu dalili gan za mwanzo zinaeza kuwa ni kiashirio cha kuwa anamimba mkuu
Nataman kujua vipi kipimo cha ukimwi kinaweza kusoma majibu kwa miez miwili na kuonekana?
uwashwa mwili na kutoa mapele manene, kukosa hamu ya kula na kuhisi maumivu ya tumbo ni dalili ya aina ipi ya minyoo na dawa gani itumike?
Dkta habari mimi nasumbuliwa natumbo kulia na kushoto nauwo upande wakulia ndo umezidi mana unachoma mpk nyuma ya mgongo hasa uck nikilala shida nn
Dockta mm naumia tumbon nasikia maumivu makali misuli inavuta.pia nikila chakula nashiba upande mmoja nashindwa kujua shida nn