Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je vitameni E vinaweza kusaidia mwanaume asiyezalisha akaweza kuzalisha?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 573
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Swali langu ni nimepata changamoto ya jicho. Nilijipiga na mnati kwenye jicho na jicho limekuwa jekundu
Nina umri wa miaka 19 ni jinsia ya kike swali langu ni kwamba sikupata hedhi ya miezi mitatu na nikakutana kimwili sasa je? Naweza kuw na ujauzt
Nina mkewangu hapa anasumbuliwa na mapigo ya moyo kwenda mbio pia mwili kuishiwa nguvu
Habari me ni msichan mwenye umri wa miaka 22 swali langu ni kwamba ni kitu gan kinachosababisha maumivu ya chini ya tumbo wakati wa kujamianaa???
Je hizo dalili za HIV za mwanzo zinaweza ziconekan mwakaa mzimaa tangia ile cku ulio toka kubamiana na mtuu
Asante sana Mimi nimesoma kuhusu ukimwi na dadilili zake nimeziona lakini mwezi kuisha nilienda kupima nikaambiwa Sina na wakati nimepungua gafla tu
Niliona vitezi vya kwapa zote mbili na kichwa kuuma Sana na vipele sehemu za Siri