SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #436 21-02-2023 12:20:19

<p>Je mwezi mtukufu wa Ramadhani umekalibia je kama ukiwa umefunga afu bado upo unafanya kazi iyo ya riba je funga itakuwa salama</p>

JIBU

Kukubaliwa kwa funga hakuna anyejuwa ila Allah mwenyewe maana ameahidi kabisa kuwa funga ni yake na yeye ndiye analipa. Ila iabada nyingine ameweka kabisa ukifanyabutapatavthawabu kiasi gani.

Bongoclass: Wewe funga na fuata masharti kukubiwa na kutokubaliwa Allah ndiye anakuwa. Ila kama kuna uwezekano wa kuachana na hiyobifisi ni heri zaidi kwako

MASWALI YANAYOFANANA