SWALI:
Naomba kujuwa Masharti 5 ya vazi la kiislam
Swali No. 456
JIBU
Mashart ya vazi la kiislamu
1. Vazi lifunike mwili mzima ila zile sehemu zilizoruhusiwa kuwa nje tu
2. Vazi lisiwe la kubana
3. Vazi lisiwe la kuonyesha
4. Vazi lisiwe na maremborembo kiasi cha kuvutia sana watu wakuangalie
5. Nguo za wanawake na wanaume ziwe ni maalumu kwa jinsia zao
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 23-02-2023-05:26:34 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp