SWALI:
Mimi ni mwanamke nina tatizo la kunyonyika nywele.
Swali No. 708
JIBU
[Tatizo hili linaweza kuwapata watu ambao wapo kwenye menopause. Kipindi ambacho wanaelekea kutopata hedhi. Sasa kwa upande wako bado mapema
Tofauti na sababu hiyo, sababu nyingine ni kama
1. Aina ya mafuta losheni unazotumia kupata kichwani
2. Misongi ya mawazo kwa muda mrefu
3. Mionzi kama ra x-ray
4. Kurithi kwenye familia
4. Matibabu kama yale saratani
5. Mabadiliko ya homoni
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 12-03-2023-11:21:31 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp