SWALI

Je km mtu aliishi miaka mingi bila kufunga  na anamke wake halali  wakati wakiishi walikuwa wanafanya matendo yote ikiwemo kujamiiana  kipindi chote cha ramadhan kwa mda wowote iwe Asubuhi  au mchana  Sasa  wameamua waanze kufunga  swaum je Hawa watu watahusika na ile hukumu ya  kufunga siku 60 mfurulizo?   Au kuzilipa zile ramadhan walizo ziacha huko nyuma?

Swali No. 839


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 839 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 23-03-2023-08:34:42 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA