Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je kipimo cha mkojo huonyexha mimb ikiwa na mda gan
Kipimo cha mkojo huonyesha ujauzito ndani ya wiki tatu. Hata hivyobinashauriwa kupima baada ya kuikosa siku zako.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari namsaidiaje MTU aliepatwa na gesi shimoni au kwa lugha nyingine MTU aliepatwa na mgandamizo wa hewa chafu underground MTU kama huyo namsaidiaje
Na mikojo kubadilika rangi kua yellow inauwezekano ikawa ni mimba au la?
Asante sana kwa maelekezo mazuri ntaendelea kuwafatilia nmejua Mambo mengi sana nami nkiwa mhanga wa tatizo hili
Nmepitia kurasa yenu nikaona juice ya kabechi inasaidia ss nilipenda kujua jinsi ya kuiandaa
Kama hali ya mkoj inasababishwa na madawa wakati mwingine je inachukua mda gani hiyo hali kukata na kurudi hali ya kawaida kukojoa mkojo mweupe tafadhali naomba ushaur doctar
Mimi Nina umri wa miaka 33 ninatatizo la kutoshika ujauzito