Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mm napata maumivu ya tumbo upande wakushoto chini
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 632
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Swali langu ni kwamba kiungulia linaweza sababisha Kansas ya Koo?
Samahan, je mwanamke anaweza kuwa na dalili za mimba za awali kwa maumivu ya kiuno?
Samahan mi naomba unifundishe ukisha jifungua unaoga je?
Nina umri wa miaka 21 msichana naomb uxhaur nilitoka period siku ya 5 nikakaa siku mbili nikafanya mapenz je naeza pata miba
Je kama unaumwa joint za miguu, kiuno na unakojoa mara kwa mara na kichwa kuum sana utaweza kupona
Mwanamke anapokutana na mwanaume kwa siku yake ya kwanza hupata mabadiriko gani katika mwili wake?