Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je mtu anaweza kutumia dawa akiwa kwenye siku za hedhi?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1161
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
chango husababishwa na nini....?na tena kuna dawa yake?
Ninamiaka 23 ni mwanamke tatizo langu ni kwamba tumbo linaniuma sana yani kama kunakitu kinanikwangua vile tumbon kunamda linaacha lakinii nikila chakula linaniuma sana yanaa halafu linatulia linakuwa linauma kwa mbalii
Je mwanamke anaweza pitiliza sku zake za makadilio kwa kawaida ngapi?
Mimi ni mama nnae nyonyesha mwanangu ana miezi 3, najisikia kuumwa tumbo na uchafu unatoka wa kama damu ambayo haijakolea na kiuno pia kinauma
Ivi nishamaliza kuswali faradhi je naweza swali swalayoyote yasunna?
Mwenye hupungufu wa. Vitamin e. Hujiskiaje