Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Hi Presha huwa inanisumbua nitumie nini ili ishuke?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 36
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hello samahan iv tezi dume inaweza sababishwa na ngono zembe
Dkta habari mimi nasumbuliwa natumbo kulia na kushoto nauwo upande wakulia ndo umezidi mana unachoma mpk nyuma ya mgongo hasa uck nikilala shida nn
je? kunawa au kujifuta mbegu kwa mwanamke wakati wa tendo la ndoa kunaweza kuwa tatizo la kupata mimba.
Habari dr Ikiwa mimba iliharibika ukakaa kama wiki mbili ukakutana na mwenzako ukasex na ukatumia p2 ndani ya masaa4 kuna uwezakano wa kupata mimba
Da dokta usinichoke nikutaka kujuwa tu pia ninauliza kwanini tunapoenda kupima hospitali twende miezi 3 wakati kipimo uonyesha kuanzia wiki 3
Dalili za mimba zinazoonekana ukeni