Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habar dr. ivi nitamjuaje mtu mwenye maambukizi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 158
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ni njia gani bora ya kuzuia magonjwa ya zinaa?
Samahan, je mwanamke anaweza kuwa na dalili za mimba za awali kwa maumivu ya kiuno?
Je kutokwa na maji maji ya njano sehm za siri tatzo ni nn
Natamani kufahamu ya uvaaji condomu na uvuaji mara tu baada ya tendo kuisha
Je baada ya kugundulika na malaria ,ukianza kutumia dozi hukiwa unaharisha kunakoma baada ya muda gani?
Habari za muda huu. Naomba kuuliza. Mimi nasumbuliwa na tumbo Tarehe za Hedhi zinapishana mpaka miezi yapishana mwezi naona mwezi sioni nanikiona napata maumivu makali sana pia ujauzito aupatikani na sijaweka kinga yapata miaka miwili sasa lakini amna ujauzito. Ni ilo tu mkuu