Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Utajuaje kwamba vidonda vya tumbo vimekuwa sugu?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 927
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahani kwausumbufu mim sijaziona siku zangu ila kama nikipata sehemzangu naona kama kuna kivimbe kwandani upande wa kulia siku za nyuma hakukuwepo sasa sijajua ninini
Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni yapi
Mimi mpenzi wangu anatoka ute mweupe ukeni je tatizo ninini
Mambo...hope uko poa...samahan nataka kujua kuhusu ujauzito mchanga,,,m nasikia tumbo langu ni kama Alina matumbo kabsa n tupu inaweza kuwa dalili ya mimba?
Samahn mm nko naujauzito lkn vyakula vyote ckuli yaan nkikula natapik hata matunda nayatapik nifany nn ati
Habari Mimi nasumbuliwa na ganzi kwenye kiganja Cha mkono wa kulia muda mwingine mkono unachoka kabisa sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini